maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Nelly ataka kuondoka – Huba

Video
24 Decemba

Kibibi amekasirika juu ya kumuachia Chidi mtoto. Wakati Doris na Nandy wazidi kugombana. Harafu Fabrizo na Jude wapigana ngumi na Nicole apata mgeni na Nelly aamua kuacha kazi.