maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Kashaulo yupo wapi? – Huba

Video
27 Januari

Sada amfokea Fabrizio juu ya Kibibi na vitu vote alivyopoteza. Tima adai kuomuona baba yake na Kibibi amutibua Fabrizio kitandani. Devi afana mpango wa kumtafuta Kashaulo. Doris aonya kumuua yoyote anaye msumbua Roy.