maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Devi aomba msamaha kwa Tima– Huba

Video
16 Julai

Devi anawasisi na mahusiano ya Kibibi na Fabrizo. Hatimaye Kibibi na Tima wakutana na Devi arudi kuomba msamaha kwa Tima. Jude na Tima waishia kufunga ndoa.