maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

"Sioni tofauti yako wewe na mamako aliyefariki" - Huba

Video
10 Januari

Makoyo amfokea Kibibi baada ya Kibibi kuuliza maswali kuhusu mgeni aliyekuja kijijini huku Sidi Abby amfukuza Sidi nyumbani kwake baada ya Sidi kumwambia kuwa mwanamke hapigwi.